Jumapili, 19 Septemba 2021

NINI CHANZO CHA MGAWANYIKO MIONGONI MWA WASABATO

 

MGAWANYIKO MIONGONI MWA WASABATO

Kumekuwepo na kutengana kwa mfululizo miongoni mwa Wakristo kwa karne  nyingi. Utengano huo, sehemu nyingine ulizaa uchungu na Mateso kwa waliojitenga, wakibanwa na wale waliokuwa wenzao hapo awali. Historia fupi ya Ukristoinaonyesha Yesu aliwachukua mitume wake na kujitenga na kanisa la WAYAHUDI, na kuanzisha kundi la Kanisa la MITUME. Sababu kubwa ya utengano huo ilikuwa ni MAPOKEO Yaliokuwa yamekumbatiwa ndani ya kanisa la Kiyahudi. Yesu alipopinga mapokeo hayoalionekana yuko kinyume cha Wazee wakongwe wa imani ya Kiyahudi (Luka 19:45-48)

Vuguvugu la UPROTESTANTI la Karne ya 16 nalo lilizaa utengano na Kanisa la KIRUMI (Roman Catholic) lililokuwa Likiendesha mambo ya Imani pamoja  na Mapokeo. Utengano huo ulizaa UPROTESTANTI, na kuzaaMataifa ya Kiprotestanti. Taifa la Marekani lilinawiri katika mambo yote kwasababu lilijitangazia Uhuru wa mambo ya Imani na kuwa Taifa la Kiprotestanti lililompa kila mtu haki yakuabudu kwa uhuru.

Karne ya 19, (1840 – 1845), vuguvugu la Waprotestanti walioamini ujumbe wa Mungu wa Malaika wa Kwanza na wa Pili ilizaa kundi la Waadventista Wasaabato. Hili ni kundi linalotakiwa kuishi kwa kulingana na Maandiko ya Biblia na Roho ya Unabii tu. Mapokeo ya viongozi au maamuzi ya Halmashauri za Kanisa yasipolingana na Maandiko, laizma pawepo na upinzani dhidi ya Mapokeo yaliyoingizwa kanisani.

Katika migawanyiko iliyokumba Ukristo, ni pale tu serikali ya wakati husika, ilipokuwa ikitumiwa na mojawapo ya makundi hayo, ndipo Serikali ilipojiingiza na kutumia nguvu zake kupigania maslahi ya kundi moja. Hali hiyo ilionekana wakati wa utengano kati ya Wakatoliki na Waprotestanti. Wakatoliki walinufaika kutumia nguvu za Serikali kujaribu kuzima kile walichokiita wao kuwa ni Uasi. Matokeo tunayafahamu  wazi hata sasa, nayo yametabiriwa kujirudia tena. Roma itashika mamlaka ya Serikali tena kama Zamani. Ufunuo 17:12-18; Ufunuo 13:3-10

Mgawanyiko Miongoni Mwa Wasabato

Kumekuwepo na migawanyiko ndani ya Waadventista Wasabato katika vipindi Mbalimbali. Hapa Tanzania tunayo Makundi Makuu Matano (5)

1.      Waadventista Wasabato wa General Conference {GC} – (Association) ndilo lenye Washiriki wengi.

2.      Wasabato Waadventista (Masalio).

3.      Wasabato Matengenezo (Reform Movement).

4.      Tanganyika Sabato.

5.      Sabato Marejeo.

Hapa tutajadili na Kuchunguza katika MAANDIKO MATAKATIFU kuhusu MISINGI ya Kanisa la Wasabato Waadventista (Masalio) na Uhalali wake Kimaandiko Matakatifu Miongoni mwa Wasabato wengine.

Kanisa hili la Wasabato Waadventista Masalio ndilo la mwisho kugawanyika  kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato wa General Conference Mwaka 2006 hapa Nchini.

Biblia ilitabirije juu ya Mgawanyiko huo. Mafungu yafuatayo ya Biblia yanazungumzia. Mathayo 24:12 – 22,  Marko 13:14 – 23,  Luka 19:41 – 44,  2Thesalonike 2:5,
Daniel 9:27,  Luka 21:20 – 23. 
Pia Kitabu cha Roho ya Unabii Pambano Kuu UK 18 na 28.

Mafungu hayo yote yanazungumzia juu ya Chukizo la Uharibifu ambacho ni kitendo cha Kanuni za Imani na Mafundisho Mapotovu  Kushirikishwa kufanywa kuwa sehemu ya Mafundisho au Imani ya Kanisa la kweli la MUNGU. Kanuni zetu za Msingi zilizostahimili kazi kwa zaidi ya Miaka 50 iliyopita zitahesabiwa kuwa hazina maana. 1SM 204.

Hapa tutataja baadhi ya Mafundisho, Sera au Kanuni Potofu Zilizofanywa kuwa Sehemu ya Imani ya Kanisa la Waadventista Wasabato la GC, mafundisho yaliyoleta Utengano na kufanya Wasabato wa General Conference {GC}  kuondoa Utakatifu wao kama Kanisa, na Kuipa nafasi MASALIO Kujitenga nao na Kuendelea na Imani Safi ya Wasabato kama lilivyoelezwa katika Maandiko Matakatifu na Vitabu vya Kanisa hilo.

Kumbuka tunazungumzia dhambi au uasi wa kanisa, si wa mtu binafsi.

1. Kanisa kuwaruhusu Wachungaji, Wazee wa Kanisa, Mashemasi na Wahudumu wengine kunyoa Upaa huku wakihudumu patakatifu, huu ni Moto wa Kigeni. Walawi 21:5,  Isaya 15:2,  torati 14:1,  Ezekiel 44:20, SDA Bible Commentary p 238,(435), 811 (1299).   Hao ni Mfano wa Makuhani wa Mungu wa Wamisri ISIS na Baal.

2. Baadhi yaWachungaji, Wazee wa Kanisa na Washirikki kuruhusiwa kuvaa na kuhudumu na Mavazi ya Wanawake kama Vitenge, Khanga katika mtindo wa Makoti, Kaunda Suti na Mashati. Torati 22:5

3. Baadhi ya wachungaji na washiriki kujiunga na vyama vya siri (Freemason, Jesuits n.k) huku wakiendelea kuwa wahudumu kanisani. 2Wakoritho 6:14 – 16, 2SM uk 121, 127, 130 – 140.

4. Baadhi  ya Wachungaji na Washiriki kuruhusiwa kujiunga na vyama vya Siasa na Jumuiya ya watetea Haki (Wanaharakati) SACCOS na Vikundi. 2Wakoritho 6:14 – 16, GW 391 – 396,  TM p 332 – 337,  Fe 475 – 484.  Yesu hakujihusisha na Jumuiya hizi.

5. Kanisa kujiunga na Umoja na Makanisa, WCC na NCC.  Great Controvesy p 555,  2koritho 14:17 – 18.

6. Kumweka mwanamke kufanya kazi ya Upatanisho ya Kuhani, Shemasi na Mzee wa Kanisa na Kusimama Mimbarini.  CW 53 – 54,  GW 303,  EV 224 – 225,  Pastral Ministry 242,  3SM 322,   Matukio uk 54,  Ufunuo 17:12,  1Timotheo 2:8,12,   Ufunuo 14:4.

7. Kutumia nembo au alama za Freemason kwenye beji na pini za Adventure, PFC na AY.

8. Umizimu wa kuenzi wafu kwa kuwavalisha mavazi kama vile, suti, gauni, viatu, saa n.k Mwanzo 3:19,   EW uk. 262 – 265

9. Kanisa kuacha na Kuondoa Misingi ya Imani yetu iliyotufanya tuwe wasabato, kubadili nembo ya kanisa na Jina la Kanisa.  GW 307,  FE 471, 472

10. Kanisa Kutumia Bima ya Maisha

SDA  ya  GC imeshindwa na Umizimu. Limefarakana na Roho ya Unabii, halimtumikii BWANA wetu Yesu Kristo, limekubali kuingiza Bima ili kufariji Kifo cha aliyepinduka na kufa katika gari, ajali ya Meli, Ndege na Moto, huku ni kujitenga na neno la Mungu.  Bible Commentary pg. 944,   1T 549 – 551

Jumatano, 26 Juni 2019



MAANA YA KANISA
(Kanisa ni nini?)

“Na juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa langu. Wala milango ya kuzimu haitalishinda” Yesu ndiye Mwamba. 1Kor 10:4 “Kwa maana Waliunywea Mwamba wa Roho uliowafuata  na Mwamba ule ulikuwa ni Kristo”
Yesu hakujenga jingo lolote na Kuliita Kanisa. Yesu hakutenga watu wowote waliomwamini na kuwaita kanisa. Bali aliwaita wanafunzi wake. Yesu Kristo ndiye Kanisa, ndiye Hekalu. Yh 2:19-21. Ndiye pekee aliyeshinda milango ya kuzimu kama alivyosema alifufuka siku ya tatu. Akalisimamisha hekalu la MUNGU milele. Kanisa ambalo ndiye yeye mwenyewe likashinda umizimu, yeye ndiye ana funguo za mauti (kuzimu). Hakuna jingo lolote liitwalo Kanisa, ambalo limefufuka na kushinda mauti. Hakuna watu (waumini) wowote ambao wameitwa Kanisa, walioshinda mauti (umizimu). Badala ya watu ao kushinda umizimu, wao ndio wameshindwa kabisa na umizimu. Wanaenzi wafu kupindukia. Na wengi wanafia dhambini, bila kutubu. Matokeo yake, ni kuingia katika hukumu ya MUNGU; moto na kibiriti Uf 20:7-9;10. Na majumba yote yaliyoitwa Makanisa yatafumuliwa kwa moto. 2Petro 3:10. Lakini Yesu ambaye ndiye Kanisa ndiye Neno Yh 1:1 hatafumuliwa. Yeye ndiye atawafumua waongo wote na majengo yao makubwa. Inashangaza Mkristo, Mchungaji, na kiongozi mkuu wa dini anaita majengo wanamoabudia, na kuimba humo, eti kanisa!! Majengo amabyo yatafumuliwa na moto, kama vile hekalu (jengo) la Yerusalemu, lilivyofumuliwa na moto. Na jiwe halikubaki juu ya jiwe. Eti haya ndiyo kanisa la Yesu alilolijenga juu yake mwenyewe!! Eti haya majengo ndiyo Yesu amaanishe kuwa kanisa la yesu alilolijenga juu yake mwenyewe!! Majengo ya sasa japo yajengwe kwa vigae, mabati ya South Africa au Kenya na madirisha makubwa ya vioo vipana, na kuta za urembo, vyumba na waya, yatafumuliwa siku ya mwisho. Kanisa la Yesu haliwezi kufumuliwa na moto.
Leo kwa tafasiri potovu, watu wanaita majengo yao ya ibada Kanisa, lakini si kanisa. Ni jengo. Yesu aliacha kanisa lake, na leo linaendelea lakini hakuacha jengo lolote kwa maana ya Kanisa. Aliacha neno lake Mt 7:24. Wanafunzi nao hawakuwa kanisa. Wala watu wote walio mwamini. Hao walikua wanafunzi na sio Kanisa. Yesu alipoona wengine wanamwacha Yh 6:66-69, aliwauliza wanafunzi wake, “Ninyi nanyi mwataka kuondoka”? Petro kwa niaba ya wote alijibu, “Twende kwa nani”? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele, nasi tumesadiki, tena tumejua yakuwa wewe ndiwe mtakatifu wa Mungu. Yh 6:68,69. Wanafunzi hawakuwa na Kanisa lingine lenye maneno ya uzima, ila Yesu tu. Wale waliorudi nyuma wasiandamane nae tena, Yh 6:66, walirudi jengoni ndilo hekalu, ambalo lilifumuliwa mwaka 70AD na Warumi. Waliliacha Kanisa ambalo ni Yesu, mwenyewe. Waliacha Kanisa waliacha hekalul la agano jipya lililoimama milele baada ya kufufuka kwake Yh 2:19,21. Mtu anayemwacha Yesu, asisadiki maneno yake, huyu ndiye aliacha Kanisa. KANISA NI NENO LAKE: NA NENO NI YESU. Yh1:1,14  Mt 7:24  Yh 2:19,21
Yh 1:12. “Bali waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake” Wale waliomwamini Yesu, hawakuwa Kanisa, bali watoto wa MUNGU. Ni makosa yatokanayo na tafsiri za walimu wa uongo, na mafisadi 2Petro 2:1-2, wanaojifanya kuwa ndio Kanisa. Huku umizimu, udhalimu, uasi, uongo vimekithiri miongoni mwao. Watu hawa wameyaita majumba ya kuabudia kuwa ni makanisa hata kama ndani yake wanacheza dansi, wanaabudu sanamu, na kufuata Sera za Mnyama kupitia Utandawazi (UTDZ). Ndivyo ilivyozoeleka. Mfano: mtu mgeni anauliza; hili jumba (jengo) kubwa ni la nini? Jibu ni Kanisa la Pentekoste; au la RC; au KKKT, au SDA n.k. ilivyozoeleka kwa kitu, kuitwa hivyo siyo ukweli wa kuwa vile. Kuna tofauti kati ya kitu Fulani kuitwa vile, lakini kisiwe vile halisi. Kuitwa na kuwa ni tofauti. To be called, and to be real, are two different ideas. Mf huyu kijana anitwa Bongoman, lakini si Bongoman mwenyewe, kuitwa anaitwa tu lakini hawi kama anavyoitwa. Ibrahimu alimwita Sara, kuwa ni umbu lake; huku  ni mke wake. Hakuwa umbu lake. Kwa kosa hilo la kuita mtu, asivyo, Farao alimchukua kuwa mke wake. Kwa huruma ya MUNGU na uwezo wake, Farao akapambana na maajabu kwa kumchukua umbu la Ibrahimu kumbe sio umbu, bali ni mke wake. Haya ni matokeo ya kuita kitu kwa makosa, kisivyo halisi.
Ndivyo ilivyo leo kwa madhehebu yaitayo majengo yao ya ibada kuwa ni makanisa. Hivyo, uongo huu, ukasababisha madhehebu mengi kuanzishwa yakijiita makanisa, lakini bila kutoa neno la MUNGU. Isaya 8:20 “Nawaende kwa sheria na ushuhuda”, lakini bado wanahubiri watu waende humo; na wasiojua wanajiunga na majengo tuu, yasiyo na Yesu.
Mungu ana Kanisa moja tu, lishikalo Amri za MUNGU na Imani ya Yesu. Kama ilivyokuwa kwa hekalu walibaki tu na nyumba yao iliyokuwa tupu bila Yesu Mt 23:8,39. Hawa waliita majengo kuwa Kanisa bila kulifuata NENO la MUNGU, bila kuwa na Yesu, ambaye ndiye Kanisa, ndiye mlango. Wao badala ya kuwaelekeza watu kwa Yesu na NENO lake wakawapeleka katika majengo ya ibada. Wakawaacha waamini maneno potovu kuwa wao ndio Kanisa. Walikwea kwingineko. Hawakuingilia Mlangoni. Walikuwa wevi na wanyang’anyi, Yn 10:1,2,8. Kwa kuwa ni majengo tu, bila Yesu, ibada zao ni za kuimba, kucheza kupiga ngoma, vigelegele, makofi, kulia ovyo tu eti ni kushikwa na Roho au kunena kwa lugha, kumbe ni kiuga tu, msisimko na humo si kanisa, bali ni jumba la anasa tu (Social Hall)
Kanisa la MUNGU ambalo ni Yesu mwenyewe, mwanadamu hawezi kuja kwa ufedhuli. Eti badala ya kunyenyekea, kujifunza kwa utulivu, kuomba na kuungama, ila anatenda dhambi zaidi akiwa ndani. Je akitoka nnje itakuaje? Watu wanaingia na mavazi ya aibu kwa kuwa siyo Kanisa ni jengo tuu. Kanisa ambalo ni neno la yesu linaonya na kufundisha hivi. Mh 5:1,2    4T uk 648    Kumb 22:55.
Je wale waliotoka katika majengo ya ibada yao ni waasi? Kuna wajibu mawili. Ndiyo na Hapana. Wale waliotoka humo wakaacha misingi halali, kanuni za haki na utaratibu safi, kamazilivyoasisiwa na neno la MUNGU, wakaanzisha mafundisho mengine potovu, kama ilivyokwisha elezwa, ni waasi. Wale walioyaacha majengo, wakazidi kudumisha misingi yote, kanuni zote, na taratibu zote za SDA hawa ndio wamo katika kanisa la Yesu. Kujitenga na Maasi ndani majengo sio kuacha kanisa. Kuacha kanisa ni kuasi misingi yetu ya kanisa la waadventista wasabato. Mf. kufanya mabaraza siku ya sabato, ni kuacha kanisa yaani NENO – Yesu. Yesu ndiye Bwana wa Sabato, kwa hiyo umemuasi Yesu. Mwanamke kuvaa suruali ameliacha Kanisa – Neno  Kumb 22:5
Mwanamke kutamalaki (kuhubiri) mimbarini ni kuacha Kanisani – Neno – Yesu    1Tm 2:11; 1Kor 14:34.  Mwanamke ni sawa na kondoo  jike na chombo dhaifu. Hawezi kumwakilisha Yesu Kuhani Mkuu wa huduma ya Upatanishi.
Law 16;3,5,8; 20:37.  1Pt 3:7  Wanawake wahubirio mimbarini, huku wakijua hawana sifa za utumishi mtakatifu kwa huduma ya ukuhani (upatanisho) ni wahuni wa kiroho kabisa. Wako nnje ya Kanisa la Yesu – SDA. Wako nnje ya NENO – Yesu.
Soma Law 21:18-21 Licha ya kuharibika kwa kiungo hicho cha kiume, je mwanamke anacho? Maonyo mengine kwa wahudumu Ez 44:18-20. Je watavaa suruali? Je neno litamruhusu Mwanamke kuvaa Suruali? Suruali ni vazi limpasalo Mwanaume. Mwanamke akivaa Suruali Mimbarini, mbona ndio Babel!! (Machafuko)
Kwa hiyo, tokeni kwake enyi watu wangu. PP166 Kabla ya kuangamizwa kwa Sodoma, MUNGU alipeleka ujumbe kwa Lutu ajiponye nafsi yake, asitazame nyuma. Onyo lilelile lilitolewa kwa wanafunzi, kabla Jerusalemu Haijaangamia. Lk 21:20,21
Kulikuwa kuna kutoka, kutengana kwa makusudi  kwa makusudi na waovu, kujiponya kwa maisha ndivyo ilivyokuwa siku za Nuhu, Lutu, na Kwa wanafunzi kabla ya Jerusalemu kuangamizwa. Na ndivyo itakavyokuwa siku zetu hizi za Mwisho, sauti tena itasikika kwa ujumbw wa onyo, ikiwahimiza watu wake wajitenge kutoka kwa uasi – uovu uliokithiri, lazima tujitenge na ndugu wasio waaminifu 2Thes 3:6,7.
~MUNGU AWAFUNULIE NURU YA UKWELI HUU AMINA~

Alhamisi, 7 Machi 2019


Image result for computer NETWORKImage result for computer NETWORK
COMPUTER
NETWORKS

What is Network?
• A network consists of two or more computers
that are linked in order to share resources (such
as printers and CDs), exchange files, or allow
electronic communications.
• The computers on a network may be linked
through cables, telephone lines, radio waves,
satellites, or infrared light beams.
Different Types of Networks
• Depending upon the geographical area covered
by a network, it is classified as:
– Local Area Network (LAN)
– Metropolitan Area Network (MAN)
– Wide Area Network (WAN)
– Personal Area Network (PAN)

Local Area Network (LAN)
A LAN is a network that is used for communicating among
computer devices, usually within an office building or home.
• LAN’s enable the sharing of resources such as files or
hardware devices that may be needed by multiple users
• Is limited in size, typically spanning a few hundred meters,
and no more than a mile
• Is fast, with speeds from 10 Mbps to 10 Gbps
• Requires little wiring, typically a single cable connecting to
each device
• Has lower cost compared to MAN’s or WAN’s
LAN’s can be either wired or wireless. Twisted pair,
coax or fibre optic cable can be used in wired LAN’s.
• Every LAN uses a protocol – a set of rules that governs
how packets are configured and transmitted.
• Nodes in a LAN are linked together with a certain
topology. These topologies include:
– Bus
– Ring
– Star
• LANs are capable of very high transmission rates (100s
Mb/s to G b/s).

Advantages of LAN
• Speed
• Cost
• Security
• E-mail
• Resource Sharing

Disadvantages of LAN
• Expensive To Install
• Requires Administrative Time
• File Server May Fail
• Cables May Break

Metropolitan Area Network (MAN)
• A metropolitan area network (MAN) is a large
computer network that usually spans a city or a
large campus.
• A MAN is optimized for a larger geographical
area than a LAN, ranging from several blocks of
buildings to entire cities.
• A MAN might be owned and operated by a
single organization, but it usually will be used
by many individuals and organizations

Metropolitan Area Network (MAN)
• A MAN often acts as a high speed network to
allow sharing of regional resources.
• A MAN typically covers an area of between 5
and 50 km diameter.
• Examples of MAN: Telephone company
network that provides a high speed DSL to
customers and cable TV network.


Wide Area Network (WAN)
• WAN covers a large geographic area such as
country, continent or even whole of the world.
• A WAN is two or more LANs connected
together. The LANs can be many miles apart.
• To cover great distances, WANs may transmit
data over leased high-speed phone lines or
wireless links such as satellites.

• Multiple LANs can be connected together
using devices such as bridges, routers, or
gateways, which enable them to share data.
• The world's most popular WAN is the Internet


Personal Area Network (PAN)
• A PAN is a network that is used for
communicating among computers and computer
devices (including telephones) in close
proximity of around a few meters within a room
• It can be used for communicating between the
devices themselves, or for connecting to a larger
network such as the internet.
• PAN’s can be wired or wireless
• A personal area network (PAN) is a computer
network used for communication among
computer devices, including telephones and
personal digital assistants, in proximity to an
individual's body.
• The devices may or may not belong to the
person in question. The reach of a PAN is
typically a few meters.



Jifunze bure Jinsi ya Kulinda Kompyuta Yako Dhidi ya 'VIRUS' | Computer Security


Image result for computer security
Computer
Security
Image result for computer security
Introduction
Computer security is the ability of a
system to protect information and
system resources.
The main objective of computer security
is protection of information and property
from theft, corruption, or natural
disaster, while allowing the information
and property to remain accessible and
productive to its intended users.

Computer Viruses
computer virus is a malicious program
that attaches itself to computer
systems and destroys or corrupts data.
A computer virus is a man-made
program or code that can attach itself
(usually without the user's consent) to
either another program or a file.
As this file travels to other computers, it
spreads the infection.

Spread of Viruses
Network file system (file sharing)
Internet download
Removable media
Attachments from emails

i. Boot-sector virus
ii. File virus
iii.Multipartite virus
iv.Macro virus
v. Logic bomb
Types of Computer Viruses

Boot-sector virus
The boot sector is that part of the OS
containing most of the instructions for
booting or powering up the system.
The boot-sector virus replaces these
boot instructions with some of its own.
Once the system is turned on, the
virus is loaded into the main memory
before the operating system

File virus
File virus attaches itself to
executable files (.exe) – those that
actually begin a program.
When infected file or program is
run, the virus starts working,
trying to get into main memory
and infecting other files

Multipartite virus
Multipartite virus infects both files
and boot sectors, which makes it
better at spreading and more
difficult to detect.
The multipartite virus is
polymorphic virus, which can
mutate and change form just as
human virus can.

Macro virus
Infect documents (files) through
the macro programming
capabilities of some programs.
They are embedded inside
common data files, such as those
created by e-mail or
spreadsheets, which are sent over
computer networks.

Macro viruses become active
when an infected document is
opened, and the program
opening the document has its
macro capabilities turned on
(enabled).

Logic bombs
Logic bombs, or simply bombs,
differ from other viruses in that
they are set to go off at a certain
date and time.
Many programmers set the
malicious virus off during days
such as April Fools Day.


Damages by Viruses
Deletion of data or programs
Reformatting of hard disk
Modify data
Introduce typing errors
Replicating and filling up the disk
space


Why Creating Viruses?
Intellectual challenge
To relieve boredom
Revenge
Economic reasons


Virus prevention
Use of high quality anti-virus
programs
Scan disks and files after using them
Scan all files you download from the
Internet
Scan word or excel file email
attachments before you read them
Use windows firewall programs
Update Virus Definition regularly
Use more secure operating systems like
Linux, Mac OS, etc.
Keep your computer's operating system
patched with all critical updates.
Never open suspicious attachments
Regularly back up your files.
Don't open attachments with no
extension at all.


Symptoms of infected computer
Unusual items appearing on the display,
including graphics, odd messages, or
system error messages.
Corrupted or inaccessible program files,
hard disks, or diskettes.
Programs taking longer to start up,
running more slowly than usual, or not
running at all.
Unexplained decrease in the amount of
available system memory








Kwa mawasiliano Zaidi:
amgaya3@gmail.com 
0752089651